Mtunzi: Erick Wakusongwa
> Mfahamu Zaidi Erick Wakusongwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Wakusongwa
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Erick Wakusongwa
Umepakuliwa mara 3,365 | Umetazamwa mara 7,351
Download Nota Download MidiMwimbieni Bwana wimbo mpya, Amaetenda mambo ya ajabu machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake Aleluya (mara 2)
MASHAIRI
1. Mkono wako wa kuume mwenyewe mtakatifu umetenda wokovu.
2. Mshangilieni bwana nchi yote inueni sauti imbeni kwa furaha