Mtunzi: Frt. Wagalinda Alex Patrick
> Mfahamu Zaidi Frt. Wagalinda Alex Patrick
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Wagalinda Alex Patrick
Umepakuliwa mara 2,427 | Umetazamwa mara 5,722
Download Nota Download MidiMwimbieni Bwana wimbo mpya, (mwimbie) mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana nchi yote. X2
1. Heshima na adhama ziko mbele zake, nguvu na uzuri zimo katika patakatifu pake.