Mtunzi: Davis Milenguko
> Tazama Nyimbo nyingine za Davis Milenguko
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 16,788 | Umetazamwa mara 23,707
Download Nota Download Midi
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, mpya x 2
Heshima na adhama ziko mbele zake, nguvu na uzuri zimo (zimo) katika patakatifu patikatifu pake x 2
1. Mwimbieni Bwana libarikini jina lake tangazeni wokovu wake, tangazeni siku kwa siku.
2. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake na watu wote habari za maajabu yake.
3. Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa sana na wakuhofiwa kuliko kuliko miungu yote