Ingia / Jisajili

Mwimbieni Mungu.

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 348 | Umetazamwa mara 1,133

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MWIMBIENI MUNGU. Mwimbieni Mungu, pazeni sauti zenu nzuri, pigeni makofi Msifuni, (huyu) Kristu Mfalme mwenye Utukufu x2. 1. Msifuni Mungu enyi mataifa yote, mkiimba, na kucheza, lisifuni jina lake. 2. Tangazeni kote waambieni watu wote, wamwabudu, huyu Mfalme, pia wamsujudie. 3. Mwimbieni huyu Mungu mwenye Utukufu, na Ukuu, una yeye, milele hata milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa