Ingia / Jisajili

Mwimbieni Na Kumshangilia Bwana Mioyoni Mwenu

Mtunzi: Benedictor Paul Mkapa
> Mfahamu Zaidi Benedictor Paul Mkapa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benedictor Paul Mkapa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Mwanzo | Shukrani

Umepakiwa na: BENNY MKAPA

Umepakuliwa mara 79 | Umetazamwa mara 77

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio; Mwimbieni na kumshangilia bwana mioyoni mwenu. Mashairi; 1. Na kumshukuru Mungu Baba siku zote kwa mambo yote katika jina lake Bwana wetu Yesu Kristo. 2. Tena utumieni muda vyema kwa sababu siku hizi ni mbaya, katika jina lake Bwana wetu Yesu Kristo.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa