Mtunzi: John Thomas Mayala
> Mfahamu Zaidi John Thomas Mayala
> Tazama Nyimbo nyingine za John Thomas Mayala
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Fredrick Charles
Umepakuliwa mara 682 | Umetazamwa mara 2,667
Download Nota Download MidiMwokozi wetu Yesu amefufuka, Tufanye shangwe,
Tumeshakombolewa
Tufurahi na tushangilie tuimbe aleluya, utukufu na
ukuu una yeye hata milele*2
1. Kaacha kaburi liwa-zi,
kafufuka, ametangulia galilaya
2. Siku ya tatu kafufuka,
kweli bwana, amefufuka alivyosema
3. Bwana wa mabwana yu hai,
ndiye mfalme, bwana anatawala milele