Ingia / Jisajili

Mwokozi Ni Mzima

Mtunzi: Franklyn Obwocha
> Mfahamu Zaidi Franklyn Obwocha
> Tazama Nyimbo nyingine za Franklyn Obwocha

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Samuel Kibali

Umepakuliwa mara 77 | Umetazamwa mara 443

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mwokozi ni mzima amefufuka, twimbe tushangilie Aleluya,kwa kina \nda na kinubi,kwa firimbi na matari,twimbe tushangilie Aleluya.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa