Mtunzi: M. Faida
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 580 | Umetazamwa mara 2,747
Download Nota Download MidiNajongea mezani pako mwokozi wangu nipokee
Ninakuja mimi mdhambi unitakase dhambi zangu
Unilishe mwili wako uninyeshe kwa damu yako
Ni chakula chenye uzima kitulizo cha roho yangu
Unishibishe kwa chakula kilichotoka uwinguni
1. Sistahili uje kwangu sema neno na nitapona
Enyo wenye moyo safi tumealika kwa karamu
2. Kautoa mwili wake kie chaku chetu sisi
Huu ni upendo wake Bwana Yesu kwetu sisi
3. Chakula safi cha uzima uzima wa milele yote
Wale wenye moyo safi meza ya Bwana itayari