Mtunzi: K. F. Manyenye
> Mfahamu Zaidi K. F. Manyenye
> Tazama Nyimbo nyingine za K. F. Manyenye
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Kiyaya F. Manyenye
Umepakuliwa mara 2,391 | Umetazamwa mara 7,270
Download Nota(Mwombeni Bwana wa mavuno aongeze wafanyakazi shambani) Mwombeni Bwana wa mavuno aongeze wafanyakazi shambani x 2
Mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache,Mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache x 2