Mtunzi: Felician J. Mlyasele
> Mfahamu Zaidi Felician J. Mlyasele
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Gasper Method Tungaraza
Umepakuliwa mara 207 | Umetazamwa mara 1,045
Download Nota Download MidiNAFSI YANGU INAZIONEA SHAUKU
(Nafsi yangu inazionea shauku, nyua za Bwana naam na kuzikondea)
Moyo wangu vyote namwili wangu, vinamlilia Mungu aliye hai.
MASHAIRI
1. Shomoro naye ameona nyumba, mbayuwayu na makinda yake
2. Heri wakaao nyumbani mwako, wanakuhimidi daima.
3. Ee Bwana wa majeshi, mfalme wangu na Mungu wangu.