Ingia / Jisajili

NAFSI YANGU YAMNGOJA MUNGU

Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa

Umepakuliwa mara 390 | Umetazamwa mara 1,993

Download Nota
Maneno ya wimbo

NAFSI YANGU YAMNGOJA  BWANA.

Nafsi yamgojea Bwana peke yake peke yake kwa kinywa peke yake kwa kimya.

1.Wokovu wangu watoka kwake yeye ndiye mwamba wangu wokovu wangu na ngome yangu sitatikisika saana

Tumaini langu latoka kwake yeye tu ndiye mwamba wangu waokovu wangu na ngome yangu sitatijisika saana

3.Kwa mungu wokovu wangu siku zote ifunueni mioyo yenu mbele zake

Mungu ndiye kimbilio letu.

4.Nafsi yangu umngoje umngoje mungu peke yake Kwa kimya wokovu wangu hutoka kwake.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa