Ingia / Jisajili

Nafsi Yangu Yamngoja Mungu

Mtunzi: Emmanuel Maghway
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Maghway

Makundi Nyimbo: Zaburi | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Mwaka wa Huruma ya Mungu

Umepakiwa na: Stanslaus Butungo

Umepakuliwa mara 291 | Umetazamwa mara 1,016

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 8 Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NAFSI YANGU YAMNGOJA MUNGU-Na Emmanuel S. Maghway

Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake i-namngoja, Mungu yamngoja (Bwana) Mungu, peke yake kwa kimya x 2.

Wokovu na tumaini (langu) hutoka kwake, yeye tu ni mwamba (wangu) na ngome ya-ngu sitatikisika x2

  1. Yeye ni kimbilio langu na mwamba wa wokovu wangu tumaini langu hutoka kwake, enyi watu mtumainini siku zote ifunueni mioyo yenu mbele zake
  2. Ee Mungu wangu nitakutafuta mapema, na nafsi yangu inakuonea kiu; mwili wangu wakuonea shauku katika nchi kavu, na uchovu isiyo na maji
  3. Ninapokukumbuka kitandani mwangu, nakutafakari wewe makesha yote ya usiku, maana wewe umekuwa msaada wangu na uvulini mwa mbawa zako nitashangilia
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa