Ingia / Jisajili

Naja Kwako Ee Bwana

Mtunzi: Snob Mwinje
> Mfahamu Zaidi Snob Mwinje
> Tazama Nyimbo nyingine za Snob Mwinje

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Snob Mwinje

Umepakuliwa mara 69 | Umetazamwa mara 466

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Naja kwako Ee Bwana, nimebeba sehemu ya mapato yangu x2. Nipokee (unipokee Bwana) Nipokee (unipokee Bwana) Japokuwa ni kidogo Bwana nipokee x2 1.Mazao ya mashamba ni mali yako Bwana, nakurudishia. 2.Fedha za mifukoni ni mali yako Bwana, nakurudishia. 3.Zawadi ya uhai umenipa Ee Bwana, nasema asante.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa