Mtunzi: Petro M. Nzugilwa
> Mfahamu Zaidi Petro M. Nzugilwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Petro M. Nzugilwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: petro nzugilwa
Umepakuliwa mara 266 | Umetazamwa mara 1,384
Download Nota Download MidiSHAIRI LA KWANZA: Yesu akatwaa makate akaumega, akawapa wafuasi wake akisema kuleni, huu ni mwili wangu ni mwili wangu, utakaotolewa kwa ajili yenu.
KIITIKIO: nakuabudu ee Kristo, uliyejitoa kuwa chakula cha wakutafutao, karibu moyoni mwangu. Nakuabudu ee Kristo, Ni nakuabudu ee Kristo, Ni nakuabudu ee Kristo, Ni nakuabudu ee Kristo wa Ekaristi takatifu.
SHAIRI LA PILI: Yesu akatwaa kikombe chenye divai, akawapa wafuasi wake akisema kunyweni, hii ni damu yangu ni damu yangu, itakayotolewa kwa ajili yenu.
SHAIRI LA TATU: Mlapo mkate na kuinywa divai, mwakumbuka kifo changu mimi, kifo changu msalabani, fanyeni hivyo kwa ukumbusho, kwa ukumbusho mpaka nitakapokuja tena.