Mtunzi: Beatus Manota Idama
> Mfahamu Zaidi Beatus Manota Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus Manota Idama
Makundi Nyimbo: Majilio | Zaburi
Umepakiwa na: Beatus Idama
Umepakuliwa mara 30 | Umetazamwa mara 39
Download NotaNAKUINULIA NAFSI YANGU
Nakuinulia nafsi yangu, ee Mungu wangu, nimekutumaini, nimekutumaini wewe nisiaibike x2 Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda, Naam, wakungojao hawataaibika hata mmoja x2
1. Ee Bwana unijulishe njia zako, Unifundishe mapito yako, Uniongoze katika kweli yako, Na kunifundisha.
2. Njia zote za Bwana ni fadhili na kweli, Kwao walishikao agano lake, Na shuhuda, shuhuda zake, Siri ya Bwana iko kwako wamchao, Naye atawajulisha agano lake.