Ingia / Jisajili

Nakushukuru Ee Baba

Mtunzi: G. R. Mollel
> Tazama Nyimbo nyingine za G. R. Mollel

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Gaudence Mtui

Umepakuliwa mara 483 | Umetazamwa mara 2,670

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Aleluya aleluya nakushukuru ee Baba bwana wa mbingu na nchi X2

Kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili na akili X2

  1. Wenye hekima uliwaficha ukawafunulia watoto wachanga
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa