Ingia / Jisajili

Nalifurahi

Mtunzi: Michael Otieno
> Mfahamu Zaidi Michael Otieno

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Zaburi

Umepakiwa na: Michael Otieno

Umepakuliwa mara 404 | Umetazamwa mara 1,225

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nalifurahi waliponiambie twende, nyumbani mwa Bwana x2 1. Miguu yetu imesimama, ndani ya malango yako e Yerusalemu 2. Ee Yerusalemu uliyejengwa kama mji ulioshikamana, huko ndiko wakopanda kabila za Bwana 3. [B/T] Ushuhuda kwa Israeli walishuku jina la Bwana, maana huko ndiko kuliwekwa viti vya hukumu, viti vya enzi nyumba ya Daudi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa