Ingia / Jisajili

Nalifurahi Walipo Niambia

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 552 | Umetazamwa mara 1,909

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NALIFURAHI WALIPO NIAMBIA WALIPO niambiaX2 Natwende nyumbani mwabwana miguu yet imedimama ndani ya malango yako Ee ye rusalemux2(1)EE yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana huko ndiko waliko panda kabila za Bwana.(2)Ushuhuda kwa kwa Israeli walishukuru jina la Bwana maana hiko vili wekwa viti vya hukumu viti vya enzi vya NYUMBA ya Daudi (3).Utakieni Yerusalemu Amani na wafanikiwe wakupe ndao.Amani lkae ndani ya kuta zako.nakufanikiwa ndani ya nyumba yako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa