Mtunzi: Samwel Mwazembe
> Mfahamu Zaidi Samwel Mwazembe
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Plus Nicholas
Umepakuliwa mara 535 | Umetazamwa mara 1,994
Download Nota Download MidiNalifurahi waliponiambia na twende nyumbani mwa bwana na twende nyumbani kwa bwana
1. Miguu yetuu imesimama ndani ya malango yako ewe mbingu uliojengwa kama mji uloshikamana huko ndiko walikopanda kabila kabila za bwana
2.Kwajili ya ndugu zangu na rafiki zangu wote niseme sasa amani ikae nawe kwanymba yabwana nikutafutie mema ya bwana