Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Beatus Idama
Umepakuliwa mara 1,900 | Umetazamwa mara 5,369
Download Nota Download MidiNalifurahi Waliponiambia - Kristu Mfalme
Nalifurahi waliponiambia, nalifurahi waliponiambia
//Na twende (nyumbani mwa Bwana) na twende (nyumbani mwa Bwana)
Na twende nyumbani mwa Bwana//
1. Miguu yetu imesimama ndani ya malango yako ee Yerusalem.
2. Ee Yerusalemu uliyejengwa kama mji, kama mji, mji ulioshikamana.
3. Huko ndiko walikopanda kabila za Bwana, ushuhuda kwa Israeli, ushuhuda kwa Israeli.
4. Maana huko viliwekwa viti vya hukumu, viti vya enzi vya mbari ya Daudi.