Mtunzi: Mashauri Julius Mathew
> Mfahamu Zaidi Mashauri Julius Mathew
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: mashauri julius
Umepakuliwa mara 309 | Umetazamwa mara 1,207
Download NotaEe Bwana Mungu wangu (Mungu) Mungu wangu nalikulilia nalikulilia nalikulilia ukaniponya x2
Mashairi
1. Ee Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu
2. Maana ghadhabu zake, Ni za kitambo kidogo, katika radhi yake muna uhai huenda kilio huja kukaa usiku lakini asubuhi huwa furaha.