Ingia / Jisajili

Nalimwona Bwana

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 376 | Umetazamwa mara 1,718

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NALIMWONA BWANA

//:Nalimwona Bwana mbele yangu siku zote, kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume nami sitatikisika://

Kwa hiyo moyo wangu unafurahia na ulimi wangu unashangilia

Kwa hiyo moyo wangu unafurahia na ulimi wangu unashangilia, nao mwili wangu utakaa kwa kutumaini.

Maana hutaiacha nafsi yangu kuzimu wala hutamtoa mtakatifu wako aone uharibifu; (Umenionyesha njia, njia zote za uzima) utanijaza furaha mbele zako; Utanijaza furaha mbele zako.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa