Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 662 | Umetazamwa mara 2,721
Download Nota Download MidiKiitikio:
Nami maombi yangu, nakuomba wewe Bwana, wakati ukupendezao, wakati ukupendezao Ee Mungu x 2.
Mashairi:
1. Kwa wingi wa fadhili zako unijibu, katika kweli ya wokovu wokovu wako.
2. Uniponye kwa kunitoa matopeni,wala usiniache nikazama.
3. Ee Bwana unijibu, maana fadhili zako ni njema, kwa kadiri ya rehema zako unielekee.