Mtunzi: John D. Kajala
> Tazama Nyimbo nyingine za John D. Kajala
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: John Kajala
Umepakuliwa mara 3,096 | Umetazamwa mara 6,280
Download Nota Download MidiNAMI N IMEZITUMAINIA
Nami nimezitumainia fadhili zako, moyo wangu uufurahie wokovu wako. X2
Naam nimwimbie Bwana, naam nimwimbie Bwana (Bwana) amenitendea kwa ukarimu. X2
1. Bwana fadhili zako, siwezi kuzihesabu, wala mimi Bwana sina cha kukulipa.
2. Bwana nitalitaja, jina lako daima, nao ulimi wangu, milele utakusifu.
3. sifa kwa Mungu Bba, sifa kwa Mungu Mwana, pia kwa Mungu Roho, Mtakatifu daima.