Ingia / Jisajili

NAMJUA YEYE

Mtunzi: Caspary Philimon
> Mfahamu Zaidi Caspary Philimon
> Tazama Nyimbo nyingine za Caspary Philimon

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Watakatifu

Umepakiwa na: Caspary Philimon

Umepakuliwa mara 290 | Umetazamwa mara 948

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Namjua Yeye niliye Mwamini na Kunisadiki yakwamba Aweza Kukilinda kile nilicho kiweka. MASHAIRI 1. Namjua yeye Mimi niliyemwamini yakwamba aweza kukilinda kilekile nilichokiweka kwake. 2.Kwa Maana Amana yangu ipo kwake, Hata siku ili, Hata siku ile yeye Mhukumu Mwenye haki.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa