Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 398 | Umetazamwa mara 2,302
Download Nota Download MidiKIITIKIO:
Namleta kwenu mtumishi wangu, Ambaye moyo wangu umependezwa naye, Awe mchungaji kati ya mataifa x2
MASHAIRI:
1. Mtumishi wangu amesikia sauti yangu na kuitika, kuwachunga kondoo wangu wote waje kwangu.
2. Naktuma leo nenda popote ukahubiri injili yangu, ili mataifa wasikie wote waje kwangu