Mtunzi: Dominick Marwa
> Mfahamu Zaidi Dominick Marwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Dominick Marwa
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Albdrt Katurumula
Umepakuliwa mara 26 | Umetazamwa mara 22
Download Nota Download MidiNampenda Bwana kwakuwa anaisikia sauti yangu (Sauti yangu) na dua zangu.
Kwa maana amenitegea sikio lake, kwahiyo nitamwita Bwana siku zote.
01.Naliona taabu ba huzuni nikaliita jina, jina la Bwana Ee Bwana uniokoe nafsi yangu