Ingia / Jisajili

Namtumainia Mwokozi

Mtunzi: Kipchumba Oscar Kiprotich
> Mfahamu Zaidi Kipchumba Oscar Kiprotich
> Tazama Nyimbo nyingine za Kipchumba Oscar Kiprotich

Makundi Nyimbo: Majilio | Mazishi

Umepakiwa na: Oscar Kipchumba

Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 21

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Namtumainia Mwokozi, Aliyetufia  Msalabani Kwa Mapendo yake azizi (na) Akanijalia Uzima wamilele  x2
mashairi
1. Hivyo nami namrudia mwokozi ili nipate amani moyoni
2. Mungu Baba naomba uvumilivu ili nivumilie mapito ya dunia
3. Inanipasa nitende mapenzi yako niwe baraka kwa ndugu zangu na dada
4. Mwisho wangu nijaliwe uzima nifike kwako kule juu Mbinguni
5. Usifiwe Utatu Mtakatifu uwe mwanga wa maisha yetu

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa