Mtunzi: James Japheth
> Tazama Nyimbo nyingine za James Japheth
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: PETER MAGEHEMA
Umepakuliwa mara 426 | Umetazamwa mara 2,095
Download Nota Download MidiNAOMBA UNIPOKEE
Naja kwako bwana yesu, naomba unipokee, u nilishemwili wako nadamu yako ninyweshe, nishibishe bwana naomba unipokee, uninyweshe bwana naomba unipokee.
1. Mwili na damu yako bwana, viniponye na magonjwa yangu, niwe mzima niifanye kazi yako.
2. Mwili na damu yako bwana, vinitie nguvu na imani nikukiri pasipo wasiwasi.
3. Mwili na damu yako bwana, vinilinde dhidi ya hatari,hira na uovu wa shetani ibilisi