Ingia / Jisajili

Naona Fahari Kukushukuru

Mtunzi: Fabian Cosmas
> Mfahamu Zaidi Fabian Cosmas
> Tazama Nyimbo nyingine za Fabian Cosmas

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwaka Mpya | Shukrani

Umepakiwa na: Fabian Cosmas

Umepakuliwa mara 73 | Umetazamwa mara 99

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Naona fahari kukushukuru Ee Mwenyezi Mungu kwa kunilinda mimi na familia yangu kwa mwaka mzima. Pokea shukrani kutoka moyoni mwangu kwa kunijalia mimi afya njema, maisha yenye furaha na marafiki wema

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa