Ingia / Jisajili

Nasikia Baba Waniita

Mtunzi: P. Kagoma

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 2,194 | Umetazamwa mara 5,806

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Nasikia Baba waniita kweli (waniita) nitangaze, neno lako x2

Mashairi:

1a). Naitika Baba wito wako...

   b). Nimekuja Baba unitume...

2a). Ninahamu kwenda Duniani ...
  b). Kutangaza Baba neno lako ...
 
3a). Nitangoja Baba unitume ...
  b). Utamke Bab niondoke ...

Maoni - Toa Maoni

Gabriel Kashinje Jan 16, 2022
Hongera wimbo unatafakarisha sana kuhusu wito

Toa Maoni yako hapa