Mtunzi: Nicolaus Chotamasege
> Mfahamu Zaidi Nicolaus Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za Nicolaus Chotamasege
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 459 | Umetazamwa mara 1,943
Download Nota Download MidiKiitikio
Nchi imejaa fadhili fadhili za Bwana fadhili za Bwana x2
Maimbilizi
1. Kwa kuwa neno la Bwana lina fadhili na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu,
huzipenda haki haki na hukumu, Nchi imejaa imejaa fadhili za Bwana.
2. Kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa chake,
hukusanya maji bahari chungu chungu huviweka vilindi katika katika ghala.
3. Heri taifa lile Bwana Mungu wao watu aliowachagua kuwa uwarithi wao,
toka mbinguni Bwana huwachungulia huwatazama wana wanadamu wanadamu wote