Mtunzi: Thomas P Kessy
> Mfahamu Zaidi Thomas P Kessy
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P Kessy
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Mwanzo | Pasaka | Zaburi
Umepakiwa na: Vitus Chigogolo
Umepakuliwa mara 2,512 | Umetazamwa mara 5,781
Download NotaNchi imejaa fadhili za Bwana nchi imejaa fadhili za Bwana kwa neno kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika Aleluya mbingu zilifanyika Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya
1. Huzipenda haki na hukumu nchi imejaa fadhili za Bwana kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika na jeshi lake kwa pumzi ya kinywa chake
2. Hukusanya maji ya bahari Maji ya bahari chungu chungu na pia huweka vilindi katika ghala nchiyo tena imwogope Bwana Mungu