Ingia / Jisajili

Nchi Imejaa Fadhili Za Bwana

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 1,786 | Umetazamwa mara 5,947

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NCHI IMEJAA FADHILI ZA BWANA

Nchi imejaa fadhili za Bwana, nchi imejaa fadhili za Bwana
//:kwa neno la Bwana mbingu zilifanyika, aleluya aleluya aleluya://

1. Kwani neno la Bwana lina adili, nao kazi yake huitenda kwa uaminifu.

2. Huzipenda haki na hukumu, nchi imejaa fadhili za Bwana.

3. Kazi zake zimejaa fahari na utukufu, nayo haki yake inadumu daima.

4. Heri yake mtu yule amchaye Bwana, mtu yule anayependezwa na amri zake.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa