Mtunzi: Elias Anthony Gashule
> Mfahamu Zaidi Elias Anthony Gashule
> Tazama Nyimbo nyingine za Elias Anthony Gashule
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: mashauri julius
Umepakuliwa mara 780 | Umetazamwa mara 1,981
Download NotaNdipo niliposema, tazama nimekuja kuyafanya, mpenzi yako x 2
1. Nalimngoja Bwana kwa saburi akaniinamia, akakisikia kilio changu
2. Akatia wimbo kinywani mwangu kinywani mwangu, ndiyo sifa zake Mungu wetu
3. Ndipo niliposema tazama nimekuja tazama nimekuja, kuyafanya mpenzi yako.