Ingia / Jisajili

Ndivyo Nilivyohaidia

Mtunzi: François Tutu Makanga
> Mfahamu Zaidi François Tutu Makanga
> Tazama Nyimbo nyingine za François Tutu Makanga

Makundi Nyimbo: Mazishi

Umepakiwa na: TUTU MAKANGA François

Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 17

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Maadamu, hivi ndivyo nilivyohaidia; kufa nitakufa ndivyo nilivyohaidia; Naenda kwa Baba hivi ndivyo nilivyohaidia; Dunia mbaya naiacha nilivyohaidia; MAADAMU, HIVI NDIVYO NILIVYOHAIDIA. 1. Naenda kwa Baba, huko nimetoka, kule nitawawekea makao ya raha. 2. Mmehuzunika kwa kuwa naenda, ila tutakaponana, mtajazwa furaha. 3. Natoka kwa Baba nikaja duniani, sasa naacha dunia narudi kwa Baba. Yoane 16: 22-28

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa