Mtunzi: Geofrey Kiswaga
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Kiswaga
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 897 | Umetazamwa mara 3,551
Download Nota Download MidiNdiwe kuhani we…
Ndiwe kuhani wewe hata milele x2
1. Ukuhani milele kwa mfano wake Melikisedeki
Utolee sadaka kwa mfano wake Melikisedeki
2. U to e sa kra me nti, kwa mfano wake Melikisedeki.
Ukahudumu watu, kwa mfano…
3. Ukuhani milele, kwa mfano wake Melikisedeki.
Ukatakatifuze, kwa mfano…