Mtunzi: Albert Sweetbert Masokola
> Mfahamu Zaidi Albert Sweetbert Masokola
> Tazama Nyimbo nyingine za Albert Sweetbert Masokola
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Dr. Albert Sweetbert Masokola
Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 5
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka C
NDIWE KUHANI HATA MLELE
I&II Ndiwe kuhani hata milele, ndiwe kuhani (kwa)
nfano wa Melkisedeki ×2
III&IV Wewe ndiwe (ndi-we kuhani) milele, (ndiwe)
kuhani (kwa) mfano wa Melkisedeki.
1. 1 Neno la Bwana kwa Bwana wangu, uketi mkono
wangu wa kuume hata ni wafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako.
2. 2. Bwana atainyoosha toka sayuni, fimbo ya
adui zako uwe na enzi kati ya adui; adui zako.
3. 3. Kwa uzuri wa utakati-fu to-kea tumbo la
asubuhi, unao uma-nde wa – ujana wako.
4.Bwana ameapa, wala hata ghaili; ndiwe kuhani hata milele kwa mfano wake Melkisedeki.