Ingia / Jisajili

Ndiwe Kuhani Milele

Mtunzi: Aljeno Elijus Temibara Ngogo
> Mfahamu Zaidi Aljeno Elijus Temibara Ngogo
> Tazama Nyimbo nyingine za Aljeno Elijus Temibara Ngogo

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: aljeno elijus

Umepakuliwa mara 469 | Umetazamwa mara 1,812

Download Nota
Maneno ya wimbo

Ndiwe kuhani(kuhani) hata milele: Ndiwe kuhani, kuhani hata milele x 2. Kwa mfano wa Melkisedeki x2

1. Neno la Bwana kwa Bwana wangu uketi mkono wangu wa kuume, hata niwafanye adui zangu kuwa chini ya miguu yako

2. Na kwa uzuri wa utakatifu tokea tumbo la asubuhi, unao umande wa ujana wako, una umande wa ujana wako.

3. Bwana Bwana atainyosha toka Sayuni fimbo ya nguvu zako, uwe na enzi kati ya adui, enzi kati ya adui zako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa