Ingia / Jisajili

Neema Yangu Ya Kutosha

Mtunzi: Frt. Renatus Rwelamira Aj.
> Mfahamu Zaidi Frt. Renatus Rwelamira Aj.
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Renatus Rwelamira Aj.

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito

Umepakiwa na: Derick Wafula

Umepakuliwa mara 857 | Umetazamwa mara 4,580

Download Nota
Maneno ya wimbo

Naye akaniambia, neema yangu ya kutosha maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu,  katika udhaifu x2

1. Basi nitajisifia udhaifu wangu kwa furaha nyingi ili uweza Kristo ukae juu yangu.

2. Napendezwa na udhaifu na ufidhuli na adhana shida kwa ajili ya Kristo kwa ajili ya Kristo.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa