Mtunzi: Methodius Maghabi
> Tazama Nyimbo nyingine za Methodius Maghabi
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Constantine Ntanguligwa
Umepakuliwa mara 731 | Umetazamwa mara 2,368
Download Nota Download MidiMashairi yanaendelea;sehemu za blue zinajirudia na ufananishe na shairi la kwanza kwenye mziki
2.a)Twendeni pangoni na zawadi
mtoyo Yesu amezaliwa
b)Tukamto- lee na sala zetu
3.a)Imbeni imbeni nyimbo nzuri
--------------"-----------------
b)Tenzi na zaburi tukamsifu
4a)Enyi pande zote za dunia
-----------------------"--------------------
b)twendwni pangoni tumsujudu
5a)Mkombozi leo ametujia
--------------------"----------------------------
b)njoni tumshukuru Mungu wetu
6a)Pigeni makofi kwa furaha
-------------------"---------------------------
b)Ngoma pia na vigelegele