Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Fransis Norbert
Umepakuliwa mara 24 | Umetazamwa mara 30
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Usiku)
Neno alifanyika mwili akakaa kwetu nasi tukauona utukufu wake x2.
1. Utukufu kama wa mwana pekee atokae kwa Baba, amejaa neema na ukweli