Ingia / Jisajili

Neno La Ko Ni Taa

Mtunzi: GASPAR SAMBAJA
> Mfahamu Zaidi GASPAR SAMBAJA

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: GASPAR SAMBAJA

Umepakuliwa mara 105 | Umetazamwa mara 234

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NENO LAKO NI TAA Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwanga wa njia yangu nimeapan nakmi nitaifikiliza kuzishika hukumu za haki yako 1) Nimkeita kwa Moyo wangu wote ee bwana uitike nitazishika amri zako, nimekuita wewe uniokoe nami nitazishika shuhuda zako Neno... 2) Kutangulia mapambazuko naliomba msaada naliyoyangojea maneno yako mwa matumaini, natumaini ili kutafakari ahadi yako Neno .... 3) Usikie sauti yangu, sasawa na fadhili zako, ee bwana unihuishe sawasawa na na hukumu yako, uyaangalie mateso yangu uniokoe, maana sikuisahau sheria yako unitetetee na kunikomboa. unihuishe sawasawa na ahadi yako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa