Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: Albert Maneno
Umepakuliwa mara 728 | Umetazamwa mara 3,420
Download Nota Download MidiNeno lako Bwana taa ya Miguu yangu na mwanga wa njia yangu, mimi nalitumainia siku zote; ndiwe, ndiwe sitara ndiwe sitara yangu, sitara na ngao yangu, neno lako nimelingoja Mungu wangu.