Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 637 | Umetazamwa mara 3,382
Download Nota Download MidiNi furaha gani nasikia kujongea mbele ya meza yako ukarimu wako ni wa milele ni ungane nawe daima
Tukale mwili wako tukanywe damu yako tuishi nawe Bwana milele yote ahe x2
1. Niponye Bwana leo na majeraha ya moyo wangu unitakase Bwana dhambi zangu za moyoni
2. Ni na ta ma ni Bwana nikae nawe milele yote, ukae kwangu Bwana katika maisha yangu.
3. Nilishe Bwana leo chakula hiki cha roho yangu, nipate nguvu niimarike kwa mwili wako.
4. Ninyweshe Bwana leo kinywaji hiki cha roho yangu, nipate nguvu niimarike kwa damu yako.