Ingia / Jisajili

Ni Mwaka Mpya

Mtunzi: Joseph Mgallah
> Mfahamu Zaidi Joseph Mgallah
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Mgallah

Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya

Umepakiwa na: Joseph Mgallah

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 5

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

UTANGULIZI

Tumeuona mwaka mpya.

KIITIKIO

Ni mwaka mpya eeh tumeuona leo (Ishirini ishirini na sita) Ni mwaka mpya eeh tumeuona leo (watu wote simameni) Ni mwaka mpya eeh tumeuona leo (tunashukuru Mungu) Ni mwaka mpya eeh tumeuona leo x2

MASHAIRI

  1. 1.  Tumeuona mwaka mpya tumshukuru mwenyezi Mungu
  2. Si kwa uweza wetu wenyewe bali kwa nguvu zake Mungu wetu
  3. Ni wengi sana wali tamani kuifikia siku hii ya leo

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa