Ingia / Jisajili

Ni Nani Huyu

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 862 | Umetazamwa mara 2,002

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NI NANI HUYU? SOP: Ni nani huyu anayenijalia baraka hizi? CHOIR: Ni huyu Yesu, nitamsifu daima milele. KIITIKIO SOP: Huyu CHOIR: Anayeniinua, SOP: Huyu CHOIR: Anayening’arisha, SOP: Huyu CHOIR: Mungu wa miujiza, SOP: Huyu CHOIR: Mungu mwenye uwezo, huyu ni nani? Ni huyu Yesu, nitamsifu daima milele. 1. SOP: Ni nani huyu anayezimimina neema hizi? CHOIR: Ni huyu Yesu, nitamsifu daima milele. 2. SOP: Ni nani huyu aliyeniletea wokovu huu? CHOIR: Ni huyu Yesu, nitamsifu daima milele. 3. SOP: Ni nani huyu ninayejiuliza nimpe nini? CHOIR: Ni huyu Yesu, nitamsifu daima milele. HITIMISHO SOP: Yesu CHOIR: Nitamsifu daima milele SOP: Yesu CHOIR: Nitamsifu daima milele TENOR: Mwokozi CHOIR: Nitamsifu daima milele TENOR: Yesu CHOIR: Nitamsifu daima milele.

Maoni - Toa Maoni

Dramani Robert May 03, 2024
Arua

Toa Maoni yako hapa