Mtunzi: T. C. Masologo
> Mfahamu Zaidi T. C. Masologo
> Tazama Nyimbo nyingine za T. C. Masologo
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Matawi
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,475 | Umetazamwa mara 4,903
Download Nota Download Midi1. Ni nani huyu mgalme wa utukufu huyu ni Bwana ni Bwana wa majeshi Aloimbiwa Hosana tamu sana nao watoto wadogo waliimba
Waliimba Hosana wa kifurahi wakiwa na matawi ya mitende mikononi wakiimba Hosana Hosana Mwana Mwana wa Daudi
2. Watoto hawa walimlaki Bwana kwa shangwe kubwa waki wa na matawi walipaaza sauti wakisema Hosana juu mbinguni Waliimba…
3. Walitandaza nguo wakamlaki Mfalme wao Mfalme mtukufu akiingia mji mtakatifu Hosana juu mbinguni waliimba
4. Atapokea Baraka kwake Bwana na haki kwa Mungu wa wokovu wake Na Hiki ndcho kizazi chao wote wamtafutao Mungu waliimba…