Mtunzi: Maloba G_Clef
> Mfahamu Zaidi Maloba G_Clef
> Tazama Nyimbo nyingine za Maloba G_Clef
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Tenzi za Kiswahili
Umepakiwa na: Erasmus Wito
Umepakuliwa mara 1,100 | Umetazamwa mara 3,466
Download Nota Download MidiNinasema ninasema nani aliye mwema, ninauliza mwanadamu nani asiye dhani, ninasema wanadamu sote sisi wadhambi. (Usimshurutishe mwenzako, usimtendee mabaya, kimshikia kinyongo milango yako itafungika *2) Nasema. 1. Mtendee mwenzako jina utakavyo kutendewa, mheshimu mwenzako naye atakuheshimu. 2. Wakumbuke wajane, watoto mayatima, watumikie wote nataka zikushukie. 3. Mtumikie Mungu, utapata neema, mpe Maisha yako, nawe utafirijika.