Ingia / Jisajili

NI VEMA NA HAKI

Mtunzi: Jackson J Kabuze
> Mfahamu Zaidi Jackson J Kabuze
> Tazama Nyimbo nyingine za Jackson J Kabuze

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: JACKSON KABUZE

Umepakuliwa mara 307 | Umetazamwa mara 1,089

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
nivema na haki kumshukru mungu wa mbinguni aliyeniumba nika pendeza 1.ni vema na haki kumshukuru mwenyezi mungu aliyeniumba nikapendeza 2. mungu ni mkuu acha ni cheze ngoma nipige nicheze kwa mungu inapendeza pige ni na shangwe enyi waamini ,vigelegele vitampendeza mwnyezi mungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa